TUONGEE : Kumuamini Mungu

Reading Time: 4 minutes                Warumi 10:17- Basi imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo. Umeshawahi kupitia jambo na kipindi hicho cha mapito ukaishiwa nguvu za kuamini kuwa Mungu anaweza kukuokoa katika hilo? Umeshawahi kuwa katika tatizo ambalo toka uzaliwe haujawahi kulipitia na ukashindwa kuamini kwamba Mungu anaweza

Vitabu Ninavyotaka Kusoma Katika Mwaka 2018

Reading Time: 4 minutes                      “Mwaka mpya, mambo mapya” Mimi napenda kusoma vitabu, napenda sana kiasi kwamba hata kwenye bio yangu nimeweka hilo swala. Nadhani kuna ujuzi na maarifa mapya ambayo yanapatikana kwenye vitabu, kuna vitu vingi sana unavyoweza kuvipata kutokana na kusoma vitabu. Kuna msemo unasema kwamba “ukitaka kumficha