22-23 : Mambo 22 niliyojifunza kwenye maisha

Reading Time: 3 minutes Tarehe 28/4, ni kumbukumbu ya miaka niliyozaliwa na jana nimekumbuka jinsi miaka 23 iliyopita nilivyokuja duniani. Ukiacha sikukuu, kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa ni siku ninayoipenda SANA. Ni siku ninayoipenda kwasababu inanikumbusha kwamba kuwepo kwangu duniani Mungu anamakusudi na mimi. Na kwavile ninakumbuka kuzaliwa kwangu na hivyo ninatimiza umri mpya na kwa mwaka huu

Jinsi ya kujiandaa kwa ajili ya safari za kimisheni (na vitu vya kubeba kwenye safari hizi).

Reading Time: 3 minutes Mpaka sasa nimefanikiwa kwenda safari mbili????, najua kwasababu nimeandika hadi posti basi unategemea ningekuwa nimeenda nyingi?, hapana mbili tu. Lakini katika hizo napenda nikushirikishe namna ya kujiandaa. Safari yoyote ni maandalizi, zaidi ya yote huko unakoenda unaenda kufanya huduma kwahiyo maandalizi yake ni zaidi na vile ungekuwa unaenda kutembea. Kabla haujaenda safari za kimisheni jiombee na

Safari za kimisheni na jinsi zinavyoweza kubadilisha maisha yako

Reading Time: 3 minutes ” Ni heri kuona kitu mara moja, kuliko kusimuliwa hicho kitu mara elfu moja”- Methali za bara la Asia.  Umisheni ni jambo pana sana, ambalo linachukua maeneo mbalimbali. Kuna namna mbalimbali  ambavyo watu wanauelezea, kuna wale wanaofanya umisheni wa kila siku kwenye maisha yao, na wale wanaoenda au kupelekewa nchi za mbali. Ni swala ambalo