Nyimbo 26 za kusikiliza unapohisi maisha yako yanaenda taratibu kuliko wengine

Reading Time: < 1 minute Kuna muda unaweza ukasikiliza nyimbo ikakufanya uone kuna mtu anakuelewa au yule mwanamuziki anajua unalolipitia, nyimbo zina namna zinatutoa kwenye mawazo tuliyonayo lakini pia maneno yaliyopo kwenye nyimbo yanakuwa namna fulani tunakiri katika hali tunazopitia. Baada ya kuandika kuhusu kuhisi maisha yanaenda taratibu, nimeona pia ni vyema kuweka nyimbo unazoweza kusikiliza ukiwa unahisi hivyo. SOMA:Kwanini watu

Kama unahisi maisha yako yanaenda taratibu kuliko wengine

Reading Time: 4 minutes Siwezi kukudanganya, hivi karibuni nimekuwa nikijisikia kama vile maisha yangu yanaenda taratibu sana, yani kama vile mambo sehemu nilipo natakiwa niwe mbele. Ni mchanganyiko wa wivu kwa vile naangalia vile wengine wako mbele halafu mimi niko nyuma ukilinganisha na wao, ukijumlisha na kujilinganisha na ukimalizia na kukosa furaha ya hapa nilipo. Najua kila mtu anaweza

Mambo niliyojifunza kutoka kwa Meghan Markle

Reading Time: 3 minutes Kama kuna watu walikuwa wanaisubiria harusi ya Prince Harry na Meghan Markle kwa hamu ni mimi.  Nimemfuatilia maisha ya Meghan kwa ukaribu sana, na nimependa vile anaishi maisha yake. Kabla sijaongelea mambo ambayo nimejifunza kwa vile Meghan anaishi maisha yake,naomba niongee hili. -Kama unatamani na wewe uolewe na prince ili uingie katika familia ya kifalme