Kwa wasio na baba, kutoka kwa asiye na baba.

Reading Time: 5 minutes “Asilimia 63 ya vijana wanaojiua wanatoka kwenye nyumba zisizokuwa na baba”-Statistics Kama hiyo picha inakufanya ukumbuke mbali, au usikumbuke popote kwa sababu hauna kumbukumbu zozote, tupo wote usijali. Baba yangu alifariki nilipokuwa na miaka mitatu kutokana na  kufeli kwa ini kwa sababu ya ulevi. Mpaka sasa imekuwa miaka 20 toka afariki. Katika muda wangu wote