Eunice Tossy/ May 27, 2018

Last Updated on


Kuna muda unaweza ukasikiliza nyimbo ikakufanya uone kuna mtu anakuelewa au yule mwanamuziki anajua unalolipitia, nyimbo zina namna zinatutoa kwenye mawazo tuliyonayo lakini pia maneno yaliyopo kwenye nyimbo yanakuwa namna fulani tunakiri katika hali tunazopitia. Baada ya kuandika kuhusu kuhisi maisha yanaenda taratibu, nimeona pia ni vyema kuweka nyimbo unazoweza kusikiliza ukiwa unahisi hivyo.

SOMA:Kwanini watu wengi hushindwa kwenye maisha

SOMA:Unapopitia Magumu

Unapohisi maisha yako yapo nyuma kuliko ya wengine, unaweza ukasikiliza nyimbo zifuatazo za kukutia moyo, kukukumbusha na kuyatamkia maisha yako mambo mema:
Ubarikiwe,
Eunice๐Ÿ’š.

Share this Post

About Eunice Tossy

24, proud Tanzanian, bookworm, beach lover, loud laugher,conversationalist, deep thinker, public foodie, authentic writer and globetrotter.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*
*