Ukweli kuhusu kumaliza chuo…

Reading Time: 3 minutes Hongera kwa kumaliza chuo???, umeaccomplish kitu katika maisha yako. (Disclaimer: Kama umemaliza chuo na haupitii haya utakayoyasoma hapa, hongera. Umefanikiwa kwenye maisha) Inatakiwa kiwe ni kipindi cha furaha kwamba umeaccomplish kitu kwenye maisha yako, ila huwa ni kipindi cha maswali yasiyo na majibu. Kipindi cha kujisikia kama hauna muelekeo kwenye maisha. Jamii inakusukuma na kutarajia