Mambo 5 ya kuzingatia unapochagua project ya kuifanya chuoni.

Reading Time: 3 minutes Umefikia muda wa kufanya project?? Hongera sana kwa kukaribia mwisho. Haya ni mambo machache unayotakiwa kuyaangalia kwa jicho la pili wakati unachagua project ya kuifanya…