Plan 5 za siku 30 katika app ya Biblia ya YouVersion unazoweza kuzisoma Juni.

Reading Time: 2 minutes

(Kufungua links, bonyeza maneno ambayo Ni meusi zaidi)

Hello, unaendeleaje leo? Mwaka Jana kipindi cha pasaka nilikushirikisha app zinazoweza kukusaidia kiroho. Na moja wapo ni app ya Biblia ya YouVersion.

App ya Biblia ya YouVersion naipenda kwasababu nyingi, nakushauri pia uidownload. Ina Biblia yenyewe ambayo unaweza kuisoma ukiwa haujawasha hata data, inaplans ambazo zimeandikwa na watumishi mbalimbali unazoweza kuzisoma, ambazo nyingine nitakushirikisha Leo, unaweza kutengeneza picha za mistari ya Biblia unayoipenda, kama vile Mimi ninavyotengeneza na na kuposti Instagram, unaweza kusoma hizo plans na marafiki zako, unaweza kuandika notes, unaweza kuweka event ya kidini na vitu vingine vingi. Bado haujashawishika????

Mwezi wa sita, pamoja na kuwa nimekutumia planner (ukisubscribe) inayokusaidia kupanga mipango/ malengo yako, natamani pia ufanikiwe kwenye kiroho chako. Ukue pia mwezi huu wa sita.

Hizi hapa Ni plans za mwezi wa sita unazoweza kuzifanya, za siku 30 ambazo hazitokuacha uwe kama ulivyokuwa wakati unaanza Juni:

?

1. 30 Days To Pray Through God’s Names
http://bible.com/r/cJ

2. 30 Days To Greater Faith
http://bible.com/r/ed

3. Declutter Now! 30 Day Devotional
http://bible.com/r/Jw

4. The Daily Dose: 30 Days To A Healthy Soul
http://bible.com/r/3ZE

5. 30 Wisdom Sayings
http://bible.com/r/3KK

Na, labda tunaweza tukawa marafiki na kufanya plans pamoja!??

Ningependa kujua plans unazozifanya sasa kwenye YouVersion, comment hapa?

Eunice ?

Related Posts

4 Replies to “Plan 5 za siku 30 katika app ya Biblia ya YouVersion unazoweza kuzisoma Juni.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *