Tips

Makala 6 za Kiswahili ulizozipenda sana kwenye mwaka 2019

Reading Time: < 1 minute

Mwaka 2019 ulikuwa mwaka mzuri na mgumu pia kwangu.. lakini kwa yote yaliyotokea namshukuru Mungu kwa vile mwaka ulivyokuwa, kwani Mungu anamakusudi yake.

Asante Sana kwa kuwa nami kwenye blogu, toka mwezi wa nne mpaka Sasa tunamaliza mwaka.

Asante Sana kwa kusoma makala, kutembelea blogu, kucomment, kushare na marafiki zako, kunitumia email na kunitia moyo na kuniambia Yale ambayo ungependa kuyasoma, Asante Sana kwa kuwa nami kwa Muda huo wote, hii blogu bila Wewe isingekuwa hapa ilipo.

Na katika kusoma, hizi ndio makala 6 zilizoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwenye hii blogu ambazo zimependwa na kusomwa Sana katika mwaka huu wa 2019:

(Unaweza kubonyeza na kuzisoma tena)

1- Vitu 5 vya kuwa navyo makini unapokuwa chuo

2- Kutokujua Kiingereza si Ujinga

3- Jinsi ya kujiamini | 10 tips

4- Kwanini wanawake hawapendani

5- Makosa niliyoyafanya nilipokuwa chuo

6- Jinsi ya kuwa mpenzi bora

Asante Sana kwa ushirikiano wako uliouonesha mwaka 2019, 2020 tuwe pamoja pia??

Eunice?

Click these social media icons to follow me on social media

Tanzanian, taking life one day at a time and being less judgmental on this amazing journey. I haven't figured out everything in life, and i am okay with that.

One Comment

Leave a Reply

Scroll Up
%d bloggers like this: