Neno La Mungu Na Mkristo (Sehemu ya Kwanza).

Reading Time: 7 minutes Napenda kujua jinsi ya kuishi vizuri na watu ili nimuwakilishe vizuri Kristo kupitia maisha yangu, napenda kuwa na hekima katika maisha yangu, napenda kuenenda katika njia impendezayo Mungu, napenda kuwa na maneno mazuri ya kuwafariji watu hasa katika dunia hii yenye misukosuko na mapito mengi ambayo watu hupitia, napenda kujawa na nguvu za Mungu, napenda

Kwanini situmii mitandao ya kijamii katika karne hii ya 21?

Reading Time: 5 minutes Najisikia kama popote ninapoenda kila mtu anashangaa kwanini situmii mitandao ya kijamii??, ni kama vile kila mtu yupo huko lakini pia ni kama vile ni kitu cha thamani ambacho kila mtu anacho ila nikigeukiwa mimi hicho kitu sina. Nikizungumzia mitandao ya kijamii naongelea Facebook,Instagram,Snapchat na Twitter. Ilikuwa mwaka 2017, mwaka jana mwezi wa tisa ambapo