Kwanini situmii mitandao ya kijamii katika karne hii ya 21?

Reading Time: 5 minutes Najisikia kama popote ninapoenda kila mtu anashangaa kwanini situmii mitandao ya kijamii??, ni kama vile kila mtu yupo huko lakini pia ni kama vile ni kitu cha thamani ambacho kila mtu anacho ila nikigeukiwa mimi hicho kitu sina. Nikizungumzia mitandao ya kijamii naongelea Facebook,Instagram,Snapchat na Twitter. Ilikuwa mwaka 2017, mwaka jana mwezi wa tisa ambapo