Things I wish every first year student should know (part 3) | Your Guide to University Life

Reading Time: 3 minutes Muda ni jambo ambalo huwa halijirudii, ukishapita umepita. Muda wako utakaokuwa nao ukiwa chuo ni wa muhimu sana. Leo tuone ni namna gani unavyoweza kuumanage vizuri na kuutumia to the maximum