Culture + Faith

Neno La Mungu Na Mkristo (Sehemu ya Kwanza).

Last Updated on April 25, 2019 at 11:50 am Napenda kujua jinsi ya kuishi vizuri na watu ili nimuwakilishe vizuri Kristo kupitia maisha yangu, napenda kuwa na hekima katika maisha yangu, napenda kuenenda katika njia impendezayo Mungu, napenda kuwa na maneno mazuri ya kuwafariji watu hasa katika dunia hii yenye misukosuko na mapito mengi ambayo […]

Culture + Faith

Kwanini situmii mitandao ya kijamii katika karne hii ya 21?

Last Updated on April 25, 2019 at 11:50 am Najisikia kama popote ninapoenda kila mtu anashangaa kwanini situmii mitandao ya kijamii😖😱, ni kama vile kila mtu yupo huko lakini pia ni kama vile ni kitu cha thamani ambacho kila mtu anacho ila nikigeukiwa mimi hicho kitu sina. Nikizungumzia mitandao ya kijamii naongelea Facebook,Instagram,Snapchat na Twitter. […]

Culture + Faith

Mimi ni nani? na kwanini nimeanzisha blog?

Last Updated on April 25, 2019 at 11:50 am Hello😄, karibu kwenye blogu yangu. nimefurahi sana kuanzisha blogu hii kwani ni jambo ambalo nilikuwa nalo moyoni toka mwaka 2017, lakini ni mwaka huu 2018 ndo nimeanzisha blogu yangu kiukamilifu. Sasa nijibu maswali mawili kwenye kichwa cha hii blogu. Mimi ni binti wa miaka 22, nimesoma […]

Back To Top