Kwanini watu wengi hushindwa kwenye maisha?

Reading Time: 4 minutes Nilikuwa naangalia interview ya T.D Jakes hapa. Na nikapata swali ambalo limekaa kwenye akili yangu kwa muda sasa, kwanini watu wengi hushindwa kwenye maisha? Tumeanza shule pamoja, sekondari pamoja , na labda tupo vyuoni pamoja lakini pia labda tunasali wote,kwanini watu wengi hushindwa kwenye maisha?Hushindwa kufikia malengoHushindwa kufanya kusudi la Mungu kwenye maisha yaoHushindwa kuzitunza

Unapopitia magumu… (Sehemu ya Nne).

Reading Time: 3 minutes Hello, karibu kwenye sehemu ya nne na ya mwisho ya unapopitia magumu. Nimefurahi kuandika hii posti lakini pia ni maombi yangu imekubariki na imeweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine. Leo namalizia na vitu ambavyo vimeweza kunisaidia kuyapitia magumu na kushinda vizuri. Katika sehemu ya kwanza mpaka ya tatu niliorodhesha vichache, lakini naomba nimalizie tena

Unapopitia magumu… (Sehemu ya Tatu).

Reading Time: 3 minutes Nimepata habari za msiba, rafiki yangu wa karibu amefiwa na dada yake, nimeumia sana. Kwanza kwa sababu habari nilizozisikia zinaumiza sana, na najua wanapita kipindi kigumu japokuwa sijaubeba mzigo aliobeba yeye lakini naamini ni mzito. Ushawahi kufikia kipindi ambacho hakuna kitu ambacho mtu anasema kitaelezea maumivu yako kwa undani? Au labda uko katika kipindi hicho