Unapopitia magumu… (Sehemu ya Nne).

Reading Time: 3 minutes Hello, karibu kwenye sehemu ya nne na ya mwisho ya unapopitia magumu. Nimefurahi kuandika hii posti lakini pia ni maombi yangu imekubariki na imeweza kukusaidia kwa namna moja au nyingine. Leo namalizia na vitu ambavyo vimeweza kunisaidia kuyapitia magumu na kushinda vizuri. Katika sehemu ya kwanza mpaka ya tatu niliorodhesha vichache, lakini naomba nimalizie tena

Unapopitia magumu… (Sehemu ya Tatu).

Reading Time: 3 minutes Nimepata habari za msiba, rafiki yangu wa karibu amefiwa na dada yake, nimeumia sana. Kwanza kwa sababu habari nilizozisikia zinaumiza sana, na najua wanapita kipindi kigumu japokuwa sijaubeba mzigo aliobeba yeye lakini naamini ni mzito. Ushawahi kufikia kipindi ambacho hakuna kitu ambacho mtu anasema kitaelezea maumivu yako kwa undani? Au labda uko katika kipindi hicho

Unapopitia magumu… (Sehemu ya kwanza)

Reading Time: 4 minutes Labda ulishapitia, unapitia sasa au unaelekea kupitia, mambo magumu huwepo kwenye maisha. Hakuna anayependa kupitia magumu lakini huwa tunayapitia kwa namna moja au nyingine. Kufukuzwa kazi, vifo, kufeli kwenye masomo, kuumwa, ugomvi, kukosa fedha na mambo magumu yoyote ambayo unaweza ukajikuta unayapitia. Hata kwenye Biblia imeandikwa hatutokuwa na safari isiyokuwa na misukosuko “Nimewaambia mambo haya