Lifestyle, Life Skills and Tipsjinsi ya kutumia mshahara, jinsi ya kuweka akiba, kuwekeza, matumizi ya boom, money issues, saving money 3 comments Jinsi ya kuwa na matumizi mazuri ya hela November 12, 2019November 12, 2019 | Eunice Tossy Reading Time: 3 minutes Matumizi mazuri ya hela ni moja kati ya skill muhimu sana ambayo inabidi uwe nayo mapema ili kufika mbali. Haya ni mambo niliyojifunza kuhusu matumizi mazuri ya pesa na natamani nishare na wewe.