Vitu 10 vijana wanapaswa kuanza kuvifanya mapema kwenye maisha yao.

Reading Time: 3 minutes Tunapokuwa vijana, huwa tunadhani ujana wetu utadumu milele. Huwa tunasahau kabisa kuhusu uzee, na hivyo kuona mambo mengine kama ya kizee au inabidi yasubiri yafanywe baadae. Leo nimeweka list 10 ya mambo ambayp vijana inabidi tuanze kuyafanya mapema, kwaajili yetu sisi wenyewe