Mambo 5 ya kuzingatia unapochagua chuo | Your Guide to University Life

Reading Time: 3 minutes Kuchagua chuo ni hatua muhimu sana. Uchaguzi wa chuo unadetermine utakuwa wapi kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ijayo. Na kama upo kipindi cha kuchagua chuo, haya ni mambo matano ya kuyazingatia katika kipindi hiki.