Vitu 9 vya kufanya katika miezi ambayo unasubiria kwenda chuo

Reading Time: 2 minutes Baada ya kumaliza form six kuna muda wa kama miezi mitano ambao utakuwa hauna kitu kinachokukeep busy. Je unajiuliza ni mambo gani ufanye kwa wakati huo, hasa kama haujachaguliwa kwenda jeshi??? I got you covered